Habbari ndugu zangu
Nilikua nataka tu kujua kuhusu hili.. kwanza mm ni mwanafunzi mwaka wa pili Diploma nasoma Mechanical engineering, nilikua naomba kujua ni-specialize wapi(kitengo gani) kulingana na fursa na project zilizopo hapa nchini Tanzania.
Nitangulize shukrani