nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 11,742
- 12,035
Haya yametokea jana.Mume anampigia simu mke wake
MUME:Hallow D
MKE:Hallow,mbona leo umechelewa sana?
MUME:Leo nimetekwa,nadhani nitaachiwa J'tatu jioni
MKE:Mungu wangu,sas.........
MUME:Hallow D wananinyang'anya simu.
Basi MUME akazima simu,akaita Waiter tuongeze vinywaji,halafu tuitie na mtu wa jikoni.