mjenziwakale
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 1,017
- 1,546
Haya ndo mambo ya kujadilianaukitaka subcontractors unawaona nani? mm binafsi natamani sanaa nipate fursa japo ya vibendera.
Sent using Jamii Forums mobile app
ni wazo zuri kuna watu wanaitwa ATOGS wao wametengeneza blog kabisa na imezinduliwa tangu mwezi wa sita unalipia kiingilio milion 2 halafu wao wanasaka kila opportunities zitakazokuwa ndani ya OIL and gas lakini target ni bomba la mseveni then watakuwa wanashare na watu wanaruka nazo ila nimejiuliza why 2mil??? kwa nini wadau wenzangu na mie wanaoona 2mil kubwa tusiwe na kijigroup chetu cha whatsap au telegram au vinginevyo tukashare kila information kwa ukaribu na bureee?Habari zenu wana jukwaa,
Ndo kama Leo tulivotangaziwa na tulivoona Leo ulikuwa ni uzinduzi Wa mradi mkubwa Wa Bomba la mafuta toka Hoima Uganda mpaka Tanga
Mimi kama mdau Wa sekta ya ujenzi ninatoa wito kwa wadau wote katika sekta hii wakiwemo wakandarasi, wahandisi, mafundi mama ntilie n.k tuweze kujadili kuona ni jinsi gani na sisi tutaweza pata nafasi za kuweza kushiriki katika mradi huu.
Naombeni hapa watu tupeane moja mbili tatu kuhusiana na jinsi gani twaweza kushiriki.Hii itatusaidia kujua ni wapi hasa twaweza kuanzia ili kuweza pata fursa kama mheshimiwa rahisi alivoshauri kwamba masubcontractor watawanywe route mzima ili kuweza kumaliza mradi kwa wakati na kwa haraka.
Ikibidi kwa wale waliokuwa tayari na wenye nia ya kushiriki katika mradi huu tuwe na group la whatsaap ili tuweze peana information zikiwemo za toka wizarani, wakandarasi wakuu, bodi ya wakandarasi , bodi ya wahandisi na pia taarifa kutoka site moja kwa moja.
Kupitia humu najua kuna watu w
n
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tiyari tushasajili group la whatsap watu washaanza kushusha nondo tiyarini wazo zuri kuna watu wanaitwa ATOGS wao wametengeneza blog kabisa na imezinduliwa tangu mwezi wa sita unalipia kiingilio milion 2 halafu wao wanasaka kila opportunities zitakazokuwa ndani ya OIL and gas lakini target ni bomba la mseveni then watakuwa wanashare na watu wanaruka nazo ila nimejiuliza why 2mil??? kwa nini wadau wenzangu na mie wanaoona 2mil kubwa tusiwe na kijigroup chetu cha whatsap au telegram au vinginevyo tukashare kila information kwa ukaribu na bureee?
Tusaidie link tafadhali mkuuMkuu tiyari tushasajili group la whatsap watu washaanza kushusha nondo tiyari
Sent using Jamii Forums mobile app
liweke mkuu au pm admin numberMkuu tiyari tushasajili group la whatsap watu washaanza kushusha nondo tiyari
Sent using Jamii Forums mobile app
Mcheki huyu bwana mkubwa 0624031451liweke mkuu au pm admin number
Tuelimishane jinsi ya kupata na kunufaika na fursa za Hoima - Tanga pipelineliweke mkuu au pm admin number