Napenda kuchukua fursa hii kuwaalika watu wote wanaopenda kujifunza kutumia fursa zinazoletwa na tehama ili waweze kupata mafunzo maalum ya Ujasiriamali wa Kidijitali (Digital Entrepreneurshi).Mafunzo haya ni basic introduction huku yakiwa na fursa kibao.Mafunzo yatakuwa na mazoezi mbalimbali ambayo yatamsaidia mshiriki kufanya yafuatayo:
Kuelewa misingi ya biashara ya kidigitali
Kuweza kutengeneza tovuti yako kwa ajili ya biashara yako
Kuweza kutumia zana mbalimbali na fursa mbali za kidigitali
Katika Mafunzo haya yafuatayo yatafundishwa
Basic Introduction to Computer Systems
Operating Systems Over view
Web Servers Overview
Basic Computer Applications-Over view-Word process,spreadsheets and Presentation.
Basic of Web Programming,html,css,php and java
Content Management Systems CMS
Business Automation,ERP,CMS and Accounting and Billing web application
Understanding the Open Source World
Understanding the webhosting Reseller Programs and Solution
Basics of Computer Security
Legal Aspects of the Web
Mafunzo haya yote yanatolewa kwa gharama nafuu kabisa.