Fursa kwenye sekta ya elimu. Walimu tunakwama wapi kutengeneza hela kubwa?

Weweeee kusanya mshahara wekeza kwenye Carwash, maduka nk elimu upuuzi tu.

Tuliwai kujikusanya kwenye telegram walimu 50+ tukakubaliana tukutane tufanye kitu tukafika 4 tu ELIMU NI UJINGA TU.

Kuwekeza kwenye sekta ya elimu ni ujunga na kujipendekeza na kutokuwa na kazi na pesa zako picha linaanza elimu bule kuna biashara hapo.

Ujinga Ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah....si ya kuchekesha...ila pole sana . Pole mnoo mdau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo CD naipataje au content?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua walimu wanaingia SAA ngapi Kazini siku hizi na wanatoka SAA ngapi? Walimu wana muda mchache sana Wa kufanya mambo ya ziada labda aache Kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi sekta ya elimu niliipenda kutokana na mzazi wangu kuwa mwalimu lakini hakuna manufaa yoyote zaidi ya kufa masikini.

Pesa ipo kwenye siasa na biashara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nina mpango wa kufungua ofisi itayoitwa Edulink consultancy .....hapa nitatoa maarifa kwa wazazi kuhusiana na career counseling pia nitakuwa na mawakala sehemu mbalimbali nchini wa kuwatafutia wanafunzi shule za private yaani nakuwa kama dalali ila natoa sababu why mtoto wako ajoin shule fulani kupitia hapo najua nitapata commission fulani
 
Thanks wazo nzuri mimi mwenyewe nawazo Kama lako la kufungua kampuni kabisa inahusiana na mambo ya elimu siku Za usoni nahisi tukikutana tunaweza tukachanganya mawazo mimi ni mwalimu wa physics na mathematics
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…