Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,268
Yawezekana wewe ni Mjasiriamali, Mbunifu, Mwanateknolojia, ama Mtatuaji wa changamoto mwenye uraia wa Tanzania ? ambaye unatamani kubadilisha maisha ya watu haswa katika upande wa Afya vijijini na maeneo mengineyo kwa kutumia taarifa zilizokusanywa tayari (OpenData) ? Kama NDIYO, basi jiandikishe na shiriki shindano la DLI Challenge kwa kuwaslisha wazo lako kupitia tovuti yetu yahttp://dliinnovationchallenge.com
Mawazo ya mtu binafsi yatayopita yatapatiwa pesa za kimarekanikuanzia US$10,000 paka US$25,000 kwa mtu binafsi, na kutatolewa US$75,000 paka US$100,000 kwa kikundi, kampuni ama shirika litaloshiriki.
Wahi sasa kabla ya tarehe18 Novemba mwaka huu 2016.