biz_mtaa
Member
- Aug 13, 2025
- 12
- 16
1️⃣ Upungufu wa muda – Wamiliki wa biashara mara nyingi hawana muda wa kusimamia account zao, kupost mara kwa mara au kujibu wateja.
2️⃣ Ubunifu mdogo wa content – Si rahisi kila mara kutengeneza maudhui ya kuvutia, yenye kuendana na bidhaa/huduma na wakati huohuo yanayoshirikisha wafuasi.
3️⃣ Kutoelewa mbinu za matangazo mtandaoni (ads) – Wengi hawajui namna ya kutumia matangazo kulenga wateja sahihi.
4️⃣ Changamoto ya uchambuzi (analytics) – Ni wachache wanaojua kusoma na kufuatilia takwimu ili kuboresha mikakati ya mtandaoni.
5️⃣ Kibali cha ubunifu na uthabiti wa chapa (branding consistency) – Mara nyingi akaunti hazina uthabiti wa picha, rangi na ujumbe, hivyo kupunguza mvuto kwa wafuasi.
🔹 Hapa ndipo Fursa ilipo kwa Kijana
Changamoto hizi siyo mwisho wa biashara, bali ni mlango wa fursa kwa vijana wenye ujuzi wa social media consulting. Ukiwa na ujuzi wa kusaidia biashara
✅ Kusimamia akaunti zao kwa ubora na uthabiti
✅ Kutengeneza maudhui ya kuvutia na yenye thamani
✅ Kushauri juu ya matangazo bora ya kulenga wateja
✅ Kufuatilia takwimu na kutoa ripoti za maendeleo
✅ Kuboresha chapa ya biashara mtandaoni
💁♂ unaweza kugeuza changamoto za wamiliki wa biashara kuwa fursa ya ajira na kipato kwako.
📔 Ndiyo maana tumeandaa ebook hii ya kipekee: "Mwongozo wa Kuanzisha Biashara ya Social Media Consulting"
Ndani yake utapata mbinu sahihi, hatua kwa hatua, zinazoweza kukusaidia
🔆 Kujifunza stadi zinazohitajika ili kuanza mara moja.
🔆 Kujua jinsi ya kutafuta na kupata wateja wa kudumu.
🔆 Kujenga brand yako binafsi kama mshauri wa mitandao ya kijamii.
👉 Ikiwa wewe ni kijana unayetafuta fursa ya kutumia mitandao ya kijamii siyo tu kwa burudani, bali kama biashara inayolipa, basi ebook hii ni mwongozo wako wa kufungua milango ya mafanikio
💡 Kumbuka: “Sio kila mtu ni mteja wako, lakini kila mteja wako yupo sokoni anakusubiri unachohitaji ni maarifa ya namna ya kumfikia.”Usiache kutufatilia kwenye mitandao Bizmtaa kwaajili ya mafunzo ya live kuhusu biashara mbalimbali za huduma