Ndugu yangu king of kings,jiulize kwanza hii product imetoka Marekani imepita uingereza,Ghana,Cameruni na nchi nyingi za matawi ya juu ulimwenguni kabla ya kuingia bongo.Wao wamesoma zaidi yetu na nafikiri kama ingekuwa haifanyi kazi ,hii kampuni ya syntek global ingeshakufa mwaka wa kwanza tu 2008 ilipozinduliwa kule marekani.Biashara zote zinafanya kazi kwenye msingi wa supply na demand.Kama watu wanadanganywa na hawaoini matokeo lazima demand ipotee na kampuni ife,kama zinavyokufa kampuni nyingi za kisanii tunazozifahamu DECI nk.
Ndugu yangu "King of Kings "xtreme fuel treatment is a comprehensive product and it surely does the following key functions:
1)Increase the performance of ur engine
2)save fuel consumption up to 22%
3)Reduce Emission
4) Prolonging your engine life
Natumaini uko Tanzania ingawa hujasema unatokea nchi gani .Umesema gari yako ni ya mwaka 1999,..fikiri huo ni mwaka 2011.Umetafakari uchakavu wa fuel system yako kwa miaka yote hii?Umetafakari kwa ndani functions zote hapo juu ambazo hii product inafanya kwenye gari yako?Kama msomi wakati unafanya experiment huwezi ukabase na criterion moja tu kujudge results wakati kuna four criteria ambazo hii product inasema inafanya,what do usay about that?By the way, mkuu kampuni ya Syntek Global ina recommend u shud double the dossage from ur 1st to third treatment to get the maximum benefits,bt wewe umetumia just single dossage kwenye treatments zako tatu za mwanzoni miongoni mwa 10 ulizotumia,what do u say about that? Huyo distributor aliyekupatia alikuelimisha hayo au ni vinginevyo?
You cant say it is a waste,unapoitumia correctly ...wakati moshi kwenye engine yako after several treatment umepungua,engine imeboreshwa na performance imeongezeka.Can u stll call that is a failure!
Naomba ufikiri kisomi bwana King of Kings,usiudangaje umma wa Tanzania kwamba hii product ni ya uongo wakati wewe umeshindwa kufuata maelekezo ya kutumia product hii product au hujaelewa kazi kuu nne ambazo zimeainishwa hapo juu ndugu yangu.
Jiulize swali: Unaenda Duka la Dawa unapewa dosage ya metakelfin unaambiwa kidonge kimoja tumia kila baada ya siku saba.Halafu wewe ndugu yangu unatumia dosage kamili ya vidonge viwili kwa siku moja.Lazime ufe ndugu yangu!
Bado utasema dawa hii ni ya uongo wakati wengine wanapona.
Ndungu yangu tutathmini kwa kina hii kitu!