Jina tu kichefichefu kalynda sijui kyaland ndio nini? Ukilitaja tu jina unajua huu ni utapeli yaan jina lenyewe tu linaonyesha hawa ni matapeli.. baizawei walioliwa washaliwa sasa wamejifunza kitu
Hasa, makampuni ya kubet yamekua mengi na matangazo radio yamekua kero na hii ya kalynda naona watu sijui wameshapigwa huko twtter wengi naona walijiunga.
All in all vijana tuchakalike na tusichague kazi
Sure ila ni very risk maana unaambiwa betting ni mchezo wa matarijiri wenye pesa kupunguza pesa ndio wanaenda kupunguza upepo kwenye kubet akikosa sawa akiliwa sawa ila hakuna anachopoteza
Kalyinda wamesepa rasmi na hela za watanzania wengi sana. Wapo walioweka 20,000 tuu wanacheka kwa huzuni na wapo walioweka mpaka milioni nne wanalia na wengine wamelazwa.