fursa fursa

ngulangwa

Member
Joined
Sep 18, 2012
Posts
18
Reaction score
1
Deftech kampuni ambayo imedhamiria kuleta ushindani kwenye teknolojia ya mawasiliano na umeme kwa kutumia vitendea kazi vya kisasa ina furaha kufanya kazi bega kwa bega na wewe mwanamasoko nchi nzima.
Faida gani utakayopata kufanya kazi na deftech?
Kama ukitangaza bidhaa na huduma zetu na kuleta wateja gharama zako utarudishiwa (usafiri na chakula) pia utapata asilimia 10 ya faida itakayopatikana kutokana na kazi hiyo.
Kama ukileta wateja wakudumu angalau 5 kwa mda mfupi utaajiriwa kama mwakilishi wa eneo hilo au utajumuishwa kwenye timu yetu ya masoko..kwa kuajiriwa na kampuni hii utapata mshahara na nyongeza
Unasubiri nini? Hii ni nafasi adimu na muhimu kwako mwana masoko
Kama utapenda tutumie baruapepe kwenda deftechmarket@yahoo.com
Tutakutumia vipeperushi vya kampuni yetu na viambatanisho vingine vitakavyokuwezesha kuielewa kampuni hii inafanya nini kwenye habari na mawasiliano na umeme
 
Tangazo lake halina detail za muhimu...who are you by the way
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…