Fursa fursa fursa

Itel

Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
33
Reaction score
16
Jiulize
Umewahi kutumia 90,000/Tsh mara ngapi bila kupata faida yoyote hata sent moja??????


Jiunge na H2i kwa mtaji wa 90,000/Tsh utengeneze kipato endelevu

Karibu tufanye kazi tusaidie jamii ya hali ys chini kupitia sisi tuliopewa nguvu na uwezo wa kufanya kazi.

Jinsi inavyofanya kazi


Nicheck whatsap 0755673911 Kwa maelezo zaid
Au coment no. Yako nitakuche
 
Deci nyingine hiyo, halafu utashangaa kuna watu wataliwa hapo
 
Helping hands nayo kumbe ni kama DECI Desidery? Haya mambo ndo huwa yananiachaga hoi eti utafute members ndo uanze kunufaika? Hamna kitu hapo, wako wapi sijui Living what what!!!
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] TRA njooni huku kuna mapato huku.
 
JUZI NIMEITWA KWA HESHMA ZOTE KWA SEMINA UKUMBI BORA KABISA KUMBE NI MAMBO HAYO HAYO YA KIDECI DECI HALAFU KUJIUNGA 385,000/= HALAFU HAWANA OFISI,UONGOZI,ANWANI,POPOTE DUNIANI.TENA SIO N.G.O WALA SI KAMPUNI SASA WAO NANI?JIBU PEOPLE HELPING PEOPLE!
 
KUNA JAMAA ALISEMA KATIKA KILA SEKUNDE WAJINGA 1000 WANAZALIWA HIVYO USISHANGAE PAMOJA NA WATU KUAMBIWA HUU NI UTAPELI IBOX ZA JAMAA ZIMEJAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…