Furniture's gulio

Huyu jamaa ni tapeli na msumbufu sana,hapo alipo ana madeni kibao,uaminifu kwenye biashara hana.
Kila siku tunaona wateja wake wanakuja kumdai pesa,wengi anawakimbia,nakupa tahadhari wewe mnunuaji,nunua ila usije kutuma pesa kwake bila kuona kitu,mimi namjua fika in and out.
 
Naona umemchomolea jamaa betri
 
Mimi nipo hapa keko,na naona mambo yake,kwa kweli kazi zake ni nzuri ila uaminifu hana.
Kuna jamaa kama wawili anawasumbua sana,mmoja wa mikoni huko,kila akija kudai pesa jamaa hayupo,huyo jamaa nasikia alituma pesa atengenezewe kitanda na sofa ila fundi hadi leo hajatengeneza yaani toka mwezi wa kwanza mwaka huu.
huyo jamaa wa mikoani nasikia ni mtu mkubwa tu serikalini,sasa hakupenda kuweka figisu ili fundi asipoteze uelekeo.
Naona umemchomolea jamaa betri
 
Tuambie unapatikana wapi kisha weka namba ya simu.
 
Market war...
 
NAPENDA KUWAKUMBUSHA WATEJA WANGU ,AMBAO MMEKUA MKITUAMINI ...


NAOMBA KUWEKA BAYANA MAMBO YAFUATAYO .....

1- Uzi huu ni maalumu kwa kuuza furniture zilizo tayari.....

2- Bidhaa hazitoandaliwa kwa order

3- Mteja ukipenda bidhaa flani,FIKA OFISINI KWETU , KAGUA BIDHAA,LIPA,BEBA(PICK AND PAY)...

4- TUNAKUBALI MFUMO WA KULIPIA PINDI MZIGO UTAKAPO KUFIKIA (PAYMENT ON DELIVERY ACCEPTED) KWA WATEJA WA MIKOANI NA NDANI YA DSM


TUNAPATIKANA CHANGOMBE ROAD (NEAR MATAA YA SERENGETI)..WORKSHOP YETU IPO KEKO-FURNITURE ....

KWA WATEJA WATAKAO FANIKIWA KUFIKA WORKSHOP KEKO FURNITURE NAPENDA KUWAKUMBUSHA KUA ...SOKO LA KEKO NI SOKO HURU , HIVYO BASI LIMETAWALIWA NA MA BROKER ZAIDI,...

BROKER ILI ATENGENEZE PESA NI LAZIMA ,AHAKIKISHE YAKUA MNUNUZI HAMFIKII MZALISHAJI NAMBA MOJA.....ILI KUPATA NAFASI YA KUFANYA TOP UP YA BEI...

MPANGO WANGU WA BIASHARA NI KUMFIKIA MNUNUZI KWA BEI YANGU ILE ILE ...NA HAPO NDIPO NAJIKUTA NIMEINGIA KTK VITA KUBWA SANA ,...HIVYO BASI TUTEGEMEE COMMENT KAMA HIZO NYINGI SANA ...

NAWAOMBA WATEJA WANGU ,MUWE NA IMANI JUU YA KAZI ZETU,TUTAPAMBANA KUFANYA KAZI KWA WELEDI WA HARI YA JUU....NAAHIDI HILO



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…