Sawa sawa ila tusidaiane malipo hapo baadae
kwani unaogopa kulipa kwa kitu gani labda? mimi sitadai kitu usichokuwa nacho.
Modes of payments cheques, cash and batter hapo kwenye batter(exchange of goods) nipahofia
Modes of payments cheques, cash and batter hapo kwenye batter(exchange of goods) nipahofia
tutaelewana tu, sitaomba nje ya uwezo wako.
basi maelewano yaanze kabla hujashitaki humu jf jukwaa la MMU kwamba umechunwa wkt umetoa ofa
naona hutaki wewe.
Ni PM kunihakikishia no strings attached