Furaha yao ni ipi?

Ulitaka kuwena magorofa au?hayo ndio maisha ya kiafrika hao wanaamani kuliko hata Wewe wa mbezi
 
Ulitaka kuwena magorofa au?hayo ndio maisha ya kiafrika hao wanaamani kuliko hata Wewe wa mbezi

Hawa hawapati mahitaji ya msingi ya binadamu dagii
 
Last edited by a moderator:
Bora siku iende, inakuwa hakuna jinsi lakini hali ni ngumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…