Furaha ya mwanaume inategemea mwanamke

Furaha ya mwanaume inategemea mwanamke

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
37,107
Reaction score
55,524
Mchepuko umesafiri,bi mkubwa yuko mbali,kwenda kupata moja moto moja baridi naona uvivu...nimebaki mpweke kama kifaranga cha kuku kilichoachwa na mama yake.Wanawake mna umuhimu sana katika kuleta furaha ya mwanaume.
 
Jana na leo unaanzisha nyuzi makini kidogo vipi umeacha kunywa bia za bei rahisi nini?
 
Back
Top Bottom