Ngurubhe
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 1,840
- 1,049
Vuta nikuvute hii inayoendelea ndani ya vyma vya upinzani yaani kugombana na kutofautiana waowao ndani na nje ya vyama ni wazi na dhahiri kuwa CCM wamewekeza humo na wamewaweza wapinzani.
Najua kama harakati za CCM kuwarubuni wafuasi wa vyama vingine haijaanza leo ni tangu mfumo wa vyama vingi unaingia hapa Tanzania..sema sura yake imekuwa ukibadeika kulingana na ugumu wanaokutana nao.
Iwe Lipumba anatumika au kutotumika mjue kuwa mda mnaoutumia kujibishana,kukwaruzana mnawapa watawala wenu nafasi kubwa ya kujijenga na kutawala milele.
Kama kweli Lipumba anatumika,basi ajue yeye ni kama dekio,atatumika tu kwa wakati huu, wakati ccm inataka imutumie lakini majaji wakuu mwishoni ni wananchi.
Inawezekana kweli akafanikiwa japo kwa mda fulani kuzivuruga harakati za wapinzani lakini ipo siku wananchi watamhukumu kwa matendo yake.
USHAURI..
WAPINZANI TAMBUENI KUWA LIPUMBA YU KWA AJILI YA KUBOMOA NA SIMAMENI IMARA,Na huyu ni mmoj tu mnaemuona lakini wapo akina Lipumba wadogowadogo wengi sana mnakula nao,mnalala nao sema tu bado muda wa kuanza kuonesha makucha yao haujafika.Just hold on you, will soon witness this....
Mtangombanishwa sana then 2020 zitakuwa ndio points za CCM dhidi yenu kwa wananchi.Hamtakuwa na nafas ya kuzirekebisha wala kuzikataa tena.Kaaeni chini mmalize tofauti Zenu haraka ili muendleee kujenga vyama vyenu..ngoja ngoja .......
Kwa mtu yoyote mpenda mabadriko ya kweli Tambueni kuwa LIPUMBA ANATUMIKA,na wapo wengine wengi tu wanafanya kazi hio sema kimyakimya....take care you guys!!