Kwanza watu wenye roho nyeupe Kama yako hapa TANZANIA mnahesabika sijui Kama mpo wengi , niseme labda makuzi na malezi yameharibu nyoyo zetu Hadi Kupata faraya kwa kuona Matatizo ya mwenzio Kama faraja yako.
Unampa mtu upendo ila yeye hata hatambui anaishia kukutukana ,kukuibia n.k