Mmiliki/Mkurugenzi wa Furaha Media na mwanasiasa Furaha Dominick, amemjia juu Askofu Josephat Gwajima kutokana na mkutano wake alioufanya na waandishi wa habari hivi karibuni huku akiongelea masuala mbalimbali yanayoendelea nchini ikiwamo sakata la utekaji
Furaha amesema hayo Mei 27, 2025 akiwa Makao Makuu ya ofisi za Furaha Media mkoani Dar es Salaam katika mkutano wake na waandishi wa habari.
"Gwajima alivyoona upepo wa Magufuli mgumu akapunguza kasi akamshawishi mzee akaaminika, hamjui nimekaa na Gwajima zaidi ya mara 20 na nilivyokuwa nasema huyu ni muongo na ni muhuni Watanzania hawakunielewa, tunajua historia yake, hana uhalali wa kuongea ajenda yoyote kwa wananchi, hakuna mtu anafurahia masuala ya utekaji lakini Gwajima hana uhalali wa kuongelea ajenda hiyo ", amesema.
Kumbe utekaji kwa hawa jamaa wa kijani ni ibada.Maana ukisema utekaji wanachachamaa mno.Yaani hapa ndio utajua kuna watu na viatu walah,kumbe utekaji kwao wanaona ni jambo jema du!!

Pamoja na yote gwajima ana hoja ya msingi, yeyote anayemkosoa Gwajima atoe majibu namna ya kuzuia utekaji nchini kwetu.Sisi ni watanzania kwanza kabla ya yotee

Hivi hawa tukiamua kuwatembezea mboko itakuwaje, a.k.a kukinukisha ila wale kunguru wenye kora nyeupe hawaonekani siku hizi wamebaki kinguru wa Zanzibar
Mmiliki/Mkurugenzi wa Furaha Media na mwanasiasa Furaha Dominick, amemjia juu Askofu Josephat Gwajima kutokana na mkutano wake alioufanya na waandishi wa habari hivi karibuni huku akiongelea masuala mbalimbali yanayoendelea nchini ikiwamo sakata la utekaji
Furaha amesema hayo Mei 27, 2025 akiwa Makao Makuu ya ofisi za Furaha Media mkoani Dar es Salaam katika mkutano wake na waandishi wa habari.
"Gwajima alivyoona upepo wa Magufuli mgumu akapunguza kasi akamshawishi mzee akaaminika, hamjui nimekaa na Gwajima zaidi ya mara 20 na nilivyokuwa nasema huyu ni muongo na ni muhuni Watanzania hawakunielewa, tunajua historia yake, hana uhalali wa kuongea ajenda yoyote kwa wananchi, hakuna mtu anafurahia masuala ya utekaji lakini Gwajima hana uhalali wa kuongelea ajenda hiyo ", amesema.
Kama hufurahii agenda ya utekaji kwa nini umlaani anayeyakemea?
Kwa hiyo walamba matraaco akina Tarimba, Muro na wengineo wapumbafu walivyoshindwa kujenga majibu ya hoja hii kwa namna walivyojifedhehesha umeona hawatoshi, nawe umeona kuwa liwalo na liwe, umeamua kuunga bodi hivyo hivyo ilimradi uonekane!

Haka kapumbavu mpaka kalikuwa kwenye ile timu ya PSU ya Jiwe sasa unajiuliza kama mtu kaingia katika kitengo nyeti sababu ya nepotism je wangapi waliingia kwa mgongo huo huo?
Halafu kana hii kesi sasa sijui ndio kako blackmailed ili kaje kamshambulie Gwajima ili kaonekane kapo upande wa Kizimkazi?