Funzo gani ulilopata katika maisha hadi sasa?

jf user

JF-Expert Member
Aug 22, 2018
777
622
Kw aumri ulionao sasa ni kipi umejifunza hapa duniani?
Mimi nimejifunza machache.
1/Dunia tunapita yani tuna muda mfupi sana hapa duniani! Many have gone real but tunalala tunaamka kesho inakua historia.
2/Ni vyema kuwekeza mbinguni kwani hya yadunia tutayaacha na wengine watachuma hata hawatafanikiwa kutumia waliyochuma.
3/Epuka dhambe tenda wema. Unaweza jisifu umefanya hujuma au dhambi Fulani lakini aadae utakuaja kuilipia so ukiwa mjanja tenda mema na utakua huru maisha yako yote na utabarikiwa Zaidi. The world is all about balance "Upimacho ndicho upimiwacho".
4/Kama wema ulivyo mtaji dhambi huzaa mauti.
 
Naamini Tz pekee akatoka Taifa lake na kufanya ualifu nchini tena katika jiji kubwa Tanzania karibu na state house na asikamatwe
 
Nimejifunza ni muhimu sana kuwa mkweli na kujiamini katika mambo yangu
 
Back
Top Bottom