"Fungus" ugonjwa wa zinaa

nzalendo

Platinum Member
Joined
May 26, 2009
Posts
13,070
Reaction score
15,149
Naam mikoa flani ya kanda ya kati.

Ndani ya chuo "Fedenge" kuna Disco la kuwakaribisha mwaka wa kwanza.

Katika hao wapya kuna mdada mashallah kajaaliwa kalio,

Muziki umekolea watu wamechangamka.

Kijana anajisogeza kwa mdada "Mashallah" anatupa nyavu ,,,anakubaliwa.

Kijana anagharamia vinywaji na kadhalika wa kadha.

Akijisachi mfukoni anasalio kadhaa...enzi hizo hakuna simu ya mkononi.

Anatoka nje na zigo huku watu wakimmezea mate'

Anakodi Taxi (cab) mpaka nyumba ya wageni,,,anachukua chumba.

Toto ghafla linachojoa na kujibwaga kitandani,

Kijana mapigo ya moyo yanaongezeka...mfukoni ana mpira wa kiume(CONDOM),,lakini anajipa moyo kwa jinsi lilivyokwiva walaaaaahi ........,...na kichwani kuna pombe inayompa ujasiri.

Kijana anapiga cha kwanza,,,usingizi unamchukua...panapokucha anapasha cha pili.

Wana agana kila mtu mwepesi.....lakini kijana anahisi muwasho.

KIjana anakuja kijiweni anajikuna ngwarara ngwararaaa....wazee kijana kulikoni??
KIJANA: Hakuna kitu joto tu.
WAZEE: Mbona kuna harufu?
KIJANA :Kimya.
Siku zikazidi kupita kijana anaona haya....huku na kule ugonjwa ukazidi...kumbe mbali na fangasi kuna pangusa...kama kijipu fulani hivi katika shafti halafu kinakua.

ITAENdEleAAA>>>>>
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…