Funguo za gari zimepotea

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2009
Posts
19,030
Reaction score
22,570
kwa aliyeokota funguo za gari (TOYOTA HARRIER)tafadhali wasiliana na ___________.

zilisahaulika juu ya gari nyingine (DSM).

asante kwa msaada wako...

update

niliweka facebook na hapa jamiiforum, nashukuru nimepata mchana huu.
 
kwa aliyeokota funguo za gari (TOYOTA HARRIER)tafadhali wasiliana na 0715824052.

zilisahaulika juu ya gari nyingine (DSM).

asante kwa msaada wako...
Tutajuaje kama hizo funguo ulizopoteza ni za Harrier na sio VITZ? Eleza kuna funguo ngapi holder ya aina gani na unahisi umedondosha barabara au mitaa gani
 
Tutajuaje kama hizo funguo ulizopoteza ni za Harrier na sio VITZ? Eleza kuna funguo ngapi holder ya aina gani na unahisi umedondosha barabara au mitaa gani
zipo funguo tatu na maeneo ni Bochi Hospital, mbezi ya morogoro road
 
Utatoa sh ngap kwa atakae fanikisha kuzipata??
 
Dar sehem gani na wapi mkubwa toa maelezo kamili vijana wa kazi wapo unaweza kuzipata
kwa aliyeokota funguo za gari (TOYOTA HARRIER)tafadhali wasiliana na 0715824052.

zilisahaulika juu ya gari nyingine (DSM).

asante kwa msaada wako...
 
Tatizo la kushika funguo mikononi ili watu wakuone kuwa una gari/Harrier?
Kila la heri baba/mama mwenye gari!
 
Hahaha namzingua tu mtoa mada. Ila angeweka zawadi uo ufunguo angeupata chap
Watz hebu tubadilike.
Leo kwake kesho kwetu.
Kumsaidia mtu mpaka chochote!!!!!
Noooo lets be real human being.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…