Funguka' Okoa ndoa yako

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,687
Unatakiwa kutumia utundu na ubunifu katika uwanja wa 6x6.

Faragha ni eneo muhimu sana ambalo linaweza kubomoa au kuimarisha ndoa.
===
Nimekutana na hii - Funguka' Okoa
===

Kuna baadhi ya wanawake ambao wako ndani ya ndoa lakini wamejisahau kwamba wana jukumu la kuwapa waume zao furaha ambazo hawawezi kuzipata kwingine.

Ukijaribu kuchunguza utabaini wanawake wengi walio ndani ya ndoa siku hizi wanasalitiwa sana. Hii ni kwa sababu wamekuwa waongeaji sana lakini wanapokuwa faragha unaweza ukadhani siyo wao.


Hawajui kitu, wamekaa kama magogo tu halafu eti wanadhani hawatasalitiwa na ndoa zao zitadumu! zitadumu kwa misingi ipi?

Mwanamke akae akijua kwamba, mumewe ni kama mtoto ambaye anatakiwa kubembelezwa huku akipewa vitu vitamu ili kumpumbaza hasishawishike kutoka nje.


Ukiwa kwenye ndoa kisha ukachukulia kila kitu poa tu eti kwa kuwa tayari ulishapendwa ipo siku utajikuta ni mke wa pambo la nyumba tu.

Mtaani kuna utitiri wa nyumba ndogo, wanaume walioanzisha makoloni hayo nje ya ndoa zao walikosa wake sahihi ambao wanaweza kuwashikilia waume zao.
Matokeo yake sasa nyumba ndogo hizo ndizo zinazooonekana kuwashika waume za watu siku hizi na wanafanikiwa kwa kuwa ni watundu na wabunifu.

Sasa kwa nini wewe mwanamke uliye ndani ya ndoa usifanye kama yale wanayofanya nyumba ndogo?



Kuna dada mmoja nilizungumza naye hivi karibuni akaniambia eti amenuniana na mumewe huu ni mwezi wa pili baada ya mwanaume wake huyo kutaka afanyiwe mambo ambayo yeye aliona kinyaa kuyafanya.
Kabla ya kumjibu kwanza niliguna, sababu ya kuguna ni kwamba niliyagundua hayo mambo ambayo aliona kinyaa kumfanyia mumewe. Niseme tu kwamba, mapenzi wakati mwingine ni uchafu, wanaojua mapenzi wanajua kwa nini nasema hivyo.
Nilichomjibu mwanamke huyo ni kwamba, kama mwanaume huyo anampenda amfanyie kila atakacho isipokuwa kukubali kufanya mapenzi kinyume na maumbile na nikamwambia kuwa, mapenzi ni uchafu hivyo hayo ambayo anaona kinyaa kumfanyia mumewe ndiyo ambayo wengine wamekuwa wakiyafanya na wamefanikiwa kuzishika ndoa zao.


Naomba niseme tu kwamba, huenda unajiamini kuwa ni mzuri na umbo la kuvutia kiasi kwamba, ni rahisi kupata mwanaume wa kuoa lakini tambua bado utakuwa na kazi kwenye kuidumisha ndoa na kuhakikisha hukaribishi mazingira ya mumeo kutafuta nyumba ndogo.
Hakikisha unaonesha uanamke wako ili hata kama huyo mumeo atatoka nje, iwe ni kwa tamaa zake tu lakini mambo ya msingi uwe unampatilizia.
 
....pia wanafanya gizani (taa zimezimwa)...unaweza ukaambiwa lamba SAHANI/na maeneo ya Jirani...ukiwa na wazo ni safi/masafi kumbe .......MAPENZI ni uchafu
 
sipingi hoja yoyote katika hizo, ila naomba mwanamke yeyote asimfanyie mumewe chochote ati kuzuia asitoke nje, sio jibu, fanya kwasababu ni wajibu wako.
 
....pia wanafanya gizani (taa zimezimwa)...unaweza ukaambiwa lamba SAHANI/na maeneo ya Jirani...ukiwa na wazo ni safi/masafi kumbe .......MAPENZI ni uchafu

wewe ni jinsia gani?
 
mm hiyo picha tu naiangalia kila wakati....!!!
anyway tuje kwenye sehemu ya kulamba papuchi dah!
inahitaji moyo!!!
kama hulambi koni yangu na mm sifanyi.....!!!
 
hata watupe nini LAZIMA TU TUWASALITI msiwadanganye hapa wakaji sacrifice kutoa kabaang halafu muwaumize zaidi
 
Mkeo unayemuignore home ujue ni nyumba ndogo ya mwenzio. Wewe tembea na mke wa mwenzio na wengone wambee na wako. Inaitwa vicious cycle .
hata watupe nini LAZIMA TU TUWASALITI msiwadanganye hapa wakaji sacrifice kutoa kabaang halafu muwaumize zaidi
 
sipingi hoja yoyote katika hizo, ila naomba mwanamke yeyote asimfanyie mumewe chochote ati kuzuia asitoke nje, sio jibu, fanya kwasababu ni wajibu wako.

wajibu huu umeanzia DIGITAL!
 
hivi 6 kwa 6 ndo solution tu ya kuokoa ndoa?
 
Mmh! Mwanaume mwanaume tu!! 2tafanya vile tuwezavyo tuuu!!
 
msaliti ni msaliti tuu..
hata ufanye nini
 
Mbona tunazungumzia mwanamke kujituma peke yake?????? Hivi mnajua wanaume wengi wanacheza ligi za mchangani kwenye ndoa zao????? Wanaume tuendelee kujidanganya wanawake wajitume na kusahau nasi tulio wengi nusu kibaba. Ukiwa mwanamme wa shoka mkeo atajiswitch kwenye njia yako ila ukiwa chapa, sinzia, lala fofofo mkeo anajiswitch hivyo kukufichia aibu.
 
goodman congratulation man huo mchezo ni kama mdako huwezi ucheza mwenyewe
 
msaliti ni msaliti tuu..
hata ufanye nini

Watu wengi huponzwa na tamaa ya macho yao! akiona umbo la mtu hufikiria makubwa toka kwake yuko tiari watoto na mke walale njaa ila afurahishe nafsi yake tu! Hakuna cha mambo katika maisha yangu naapa silambi papuchi hata kwa dawa na jua kuna wadada ni wasafi sana sehemu hizo ukimkuta kama mtoto aliye zaliwa leo lakini hunishawishi ila koni nampa kwani mazingira yake yanaruhusu!!!! sijawahi lamba nilishawahi ombwa na mmoja kufanya hivyo akiniambia jamaa ake wa zamani alikua anazama lakini nilimwambia siwezi na aliniacha kweli ile kisera lakini narudia papuch hunishawishi eti mapenzi ni uchafu!
Dada zangu mazingira yetu yanaruhusu kunyonya koni lakini kama unampenda jamaa usimpe shida za kuzama chumvini ehm jaribu njia nyingine ya wewe kulidhika! kumbuka eneo hilo kila mwezi nini kinatokea, eneo lenyewe ni la kutoa na kupokea uchafu tofauti na koni ni kutoa tu! Kwa taarifa yako mtu anayekupenda hawezi kutoka nje kizembe hivyo labda zaidi ya hapo!!!!!
 
goodman congratulation man huo mchezo ni kama mdako huwezi ucheza mwenyewe
Thanks.....bold umenikumbusha mbaaaaaaaaaaaaali kombolela, baba na mama.....loooh!!!!!! ukubwa unanyima mengi siamini sasa nina mipaka hata ya kucheza na wanangu.
 
Hata hizo "nyumba ndogo" hazina kitu kipya kiviile!

Kwa kweli kama tunatoka nje mara nyingi ni 'mitamaa' yetu tu na wala haina uhusiano na rmance ya mke kunako 6 kwa 6!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…