Fungua njia kitoto chaanza tambaa

IrDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2010
Posts
745
Reaction score
361
Wadau nimeusikia wimbo huu kwenye tangazo la epic bss,yoyote mwenye link ambayo naweza nikaupata wimbo huu full naomba aniwekee hapa
 
Reactions: SG8
Haya wimbo wa fungua njia huu hapa kwa anaye utaka. wimbo huu umeimbwa na wanaume watatu.

[video=youtube_share;6OzJXeq9gqw]http://youtu.be/6OzJXeq9gqw[/video]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…