Yote uliyoeleza ni kweli kabisa. Suala la kusamehe nimelihakikisha kivitendo kabisa na baraka nikaziona. Hata kama mtu alikdhulumu wewe samehe na mwachilie kutoka moyoni mwako halafu tulia uone Mungu atakavyokufungulia milango mingine kabisa ya baraka