Abuu Dharr
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 2,910
- 3,024
Mie mkristo.
Napita tu
Asante mkuu.Krb ndg
Dah nikadhani unaongelea Ashura alivyofungasha wowowo, hahahaAssalaam Alaykum
Kwa siku ya leo,wapo miongoni mwetu,walio anza Ibada ya Funga,na wengine wata anza kesho in sha Allah
Kama tulivyosema hapo mwanzo(Japo uzi ulifutwa)
Funga hii ya Ashuraa,ina taratibu na mifumo mikuu minne(4)
MFUMO WA KWANZA
ni kufunga siku ya tisa,kumi na kumi na moja
MFUMO WA PILI
ni kufunga siku ya tisa na siku ya kumi
MFUMO WA TATU
ni kufunga siku ya kumi na siku ya kumi na moja
MFUMO WA NNE
ni kufunga siku ya kumi tu
na hili linachukizo kwa mujibu wa Dalili sahihi na mbele ya weengi wa Wanachuoni
Kadhalika katika kujifunza mambo mbalimbali
Kuna nguzo kuu tatu katika kufanikiwa kimaisha na kuwa na amani
1)SUBRA,
uvumilivu na subira,ni nguzo mama katika maisha ya kila mwana adam
2)FUNGA,
Funga,ni kujizuia kula,kunywa na matamanio ya nafsi kwa kutaka radhi za Mola wako,kuanzia kuchomoza kwa jua mpaka kuzama kwake,hili nalo,ni lazima liambatane na SUBRA,kadhalika,kuwaweka watu sawa na kuonja machungu ya njaa na kiu kwa alie nacho na asie nacho
3)KUSAMEHE,
Hii nayo ni nguzo muhimu sana na muhimu wa amani ndani ya nafsi,Kusamehe kwa aliekukosea,kuna taka pia SUBIRA na uvumilivu wa hali ya juu,hususan,ikiwa yuke unaemsamehe,una uwezo wa kumuadhibu au kumuwajibisha
Kwa haya machache
Nawatakia siku njema
Allah awe pamoja nanyi katika mambo yenu yote
Dah nikadhani unaongelea Ashura alivyofungasha wowowo, hahaha
Mkuu umeoa.shaka ondoa ndg
Mkuu umeoa.
Maana unaonekana una hekima sana.
Mkuu Hammaz mkuu Abuu Dharr haonekani.Yaa akhy Abuu Dharr shima alaykum shima alaykum, alaykum ya akhy naona fursa ya dhahabu kutoka kwa madame imekuangukia, shima alaykum.
Akhy, jazaakumullahu khayra wa shukran jaziira.
Niliisahau kabisa.
Bila shaka Abuu Dharr ni mwenye haya, mpe muda Madame B kwani ugeni uliyouleta ni mkubwa na wenye ghafla.Mkuu Hammaz mkuu Abuu Dharr haonekani.
Na wala sijui kenda wapi.
Huenda anaogopa kutenda zinaa ya macho kwa hiki nilichomwambia
USIPITE SOMA, SUBIRA KUFUNGA NA KUSAMEHE SI KWA WAISLAM PEKEEMie mkristo.
Napita tu
Ni Ashuraa na sio AshuraDah nikadhani unaongelea Ashura alivyofungasha wowowo, hahaha
Hiyo avatar yako ni shubha ukizingatia leo ni siku ya kufungs AshuraaMkuu Hammaz mkuu Abuu Dharr haonekani.
Na wala sijui kenda wapi.
Huenda anaogopa kutenda zinaa ya macho kwa hiki nilichomwambia
Asante mkuu.USIPITE SOMA, SUBIRA KUFUNGA NA KUSAMEHE SI KWA WAISLAM PEKEE
Hahaha... Shub'haHiyo avatar yako ni shubha ukizingatia leo ni siku ya kufungs Ashuraa