S Sweetlol Senior Member Joined May 9, 2011 Posts 102 Reaction score 24 Dec 3, 2011 #1 Nimepita hapa mt.meru hotel nasikia usiku kunafundraising inafanywa na kina sitta nyarando na wanasiasa wengi huku wamealika vizito wengi wa hapa arusha.mwenye kujua zaidi atujuze jaman.niko hapa napata juice.karibun wadau
Nimepita hapa mt.meru hotel nasikia usiku kunafundraising inafanywa na kina sitta nyarando na wanasiasa wengi huku wamealika vizito wengi wa hapa arusha.mwenye kujua zaidi atujuze jaman.niko hapa napata juice.karibun wadau
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,887 Dec 3, 2011 #2 sitta nyarando ndo nani?