Story za nguate Member Joined Mar 20, 2022 Posts 27 Reaction score 46 Jan 15, 2023 #1 Habari wana jukwaa Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 Fundi welding napatikana dar es salaam, Mbagala natengeneza :- Milango Madirisha Vitanda Anger N.k wanajukwaa Naomba KAZI Kwenye Ofisi Makampuni Viwandani N.k Mawasiliano 0735989666
Habari wana jukwaa Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 Fundi welding napatikana dar es salaam, Mbagala natengeneza :- Milango Madirisha Vitanda Anger N.k wanajukwaa Naomba KAZI Kwenye Ofisi Makampuni Viwandani N.k Mawasiliano 0735989666
Mjomba Fujo JF-Expert Member Joined Oct 27, 2012 Posts 2,589 Reaction score 6,727 Jan 15, 2023 #2 Una mashine zote au ujuzi tu.
Story za nguate Member Joined Mar 20, 2022 Posts 27 Reaction score 46 Jan 15, 2023 Thread starter #3 Ujuzi tuuu kiongozi
IamBrianLeeSnr JF-Expert Member Joined Nov 10, 2022 Posts 2,010 Reaction score 4,182 Jan 15, 2023 #4 Story za nguate said: Ujuzi tuuu kiongozi Click to expand... Ujuzi tuu au unauwezo wakufkiria jambo na kulifanyia kazi na maanisha unaubunifu kichwani..
Story za nguate said: Ujuzi tuuu kiongozi Click to expand... Ujuzi tuu au unauwezo wakufkiria jambo na kulifanyia kazi na maanisha unaubunifu kichwani..
Story za nguate Member Joined Mar 20, 2022 Posts 27 Reaction score 46 Jan 15, 2023 Thread starter #5 IamBrianLeeSnr said: Ujuzi tuu au unauwezo wakufkiria jambo na kulifanyia kazi na maanisha unaubunifu kichwani.. Click to expand... Nina ujuzi wa kutengeneza Vitanda Madirisha Milango Mageti Nk
IamBrianLeeSnr said: Ujuzi tuu au unauwezo wakufkiria jambo na kulifanyia kazi na maanisha unaubunifu kichwani.. Click to expand... Nina ujuzi wa kutengeneza Vitanda Madirisha Milango Mageti Nk
IamBrianLeeSnr JF-Expert Member Joined Nov 10, 2022 Posts 2,010 Reaction score 4,182 Jan 15, 2023 #6 Story za nguate said: Nina ujuzi wa kutengeneza Vitanda Madirisha Milango Mageti Nk Click to expand... Ongezea hayo maelezo yako kwenye uzi wako sababu naona ulishindwa kujieleza sijui ulikua unawahi wapi? Weka picha baadhi za kazi zako tuelekeze wapi unapatikana na mawasiliano zaidi kama vipi...
Story za nguate said: Nina ujuzi wa kutengeneza Vitanda Madirisha Milango Mageti Nk Click to expand... Ongezea hayo maelezo yako kwenye uzi wako sababu naona ulishindwa kujieleza sijui ulikua unawahi wapi? Weka picha baadhi za kazi zako tuelekeze wapi unapatikana na mawasiliano zaidi kama vipi...
Story za nguate Member Joined Mar 20, 2022 Posts 27 Reaction score 46 Jan 15, 2023 Thread starter #7 IamBrianLeeSnr said: Ongezea hayo maelezo yako kwenye uzi wako sababu naona ulishindwa kujieleza sijui ulikua unawahi wapi? Weka picha baadhi za kazi zako tuelekeze wapi unapatikana na mawasiliano zaidi kama vipi... Click to expand... Asante kiongozi
IamBrianLeeSnr said: Ongezea hayo maelezo yako kwenye uzi wako sababu naona ulishindwa kujieleza sijui ulikua unawahi wapi? Weka picha baadhi za kazi zako tuelekeze wapi unapatikana na mawasiliano zaidi kama vipi... Click to expand... Asante kiongozi