steve_shemej JF-Expert Member Joined Nov 26, 2015 Posts 1,194 Reaction score 1,636 Feb 13, 2020 #1 Naitwa Steven nipo Songea. Umri wangu ni miaka 25. Natafuta kazi kwenye upande wa welding. Nina uzoefu wa kutengeneza bidhaa zote za welding pia nipo tayari kufundishika zaidi. Pia nina uzoefu wa kutengeneza crashers za kuvunjia mawe ya dhahabu. Npo tayari kufanya kazi popote. Mwenye uhitaji na mimi namba yangu ni: 0713861568 View attachment 1356659View attachment 1356658 Sent using Jamii Forums mobile app
Naitwa Steven nipo Songea. Umri wangu ni miaka 25. Natafuta kazi kwenye upande wa welding. Nina uzoefu wa kutengeneza bidhaa zote za welding pia nipo tayari kufundishika zaidi. Pia nina uzoefu wa kutengeneza crashers za kuvunjia mawe ya dhahabu. Npo tayari kufanya kazi popote. Mwenye uhitaji na mimi namba yangu ni: 0713861568 View attachment 1356659View attachment 1356658 Sent using Jamii Forums mobile app