Fundi wangu kaniambia anachomelea nondo za nguzo badala ya kutumia binding wire

Ultimate

JF-Expert Member
Nov 29, 2016
713
1,739
Husika na kicha cha habari hapo juu.

Huyu fundi kanistua, nondo za kusimamishia nyumba ya flow moja kaniambia badala ya kutimia binding wire tuzi chomee

Nilikua nawaza hapa chuma za kuchomea huwa baada ya mda zinakatika sasa hii kutumia kwenye nguzo hamna siku itakuja kundondoka kweli

Nimejaribu kuuliza uliza wamesema ni salama lkn bado na wasisiwasi
 
Ungezaliwa ukakuta zinachomelewa alafu akaja fundi kukwambia tuzifunge na waya hakika ungestuka zaidi ya sasa.
 
Usiwe na wasiwasi, hakuna shida kwenye kuchomelea mkuu.
 
Wadau wengine wanasema kuchomelea unapunguza ubora wa nondo husika.
 
Back
Top Bottom