Nyati JF-Expert Member Joined Mar 6, 2009 Posts 2,528 Reaction score 1,920 Sep 10, 2019 #1 Wakuu habari za kazi, Jamaa yangu gari linamsubua baada ya kusafisha / kuosha Injini ya gari. Tatizo ni indicators zinasumbua, mara ziwake mara zisiwake. Naomba kama kuna fundi mweledi aliyeko Dodoma nisaidiwe namba yake
Wakuu habari za kazi, Jamaa yangu gari linamsubua baada ya kusafisha / kuosha Injini ya gari. Tatizo ni indicators zinasumbua, mara ziwake mara zisiwake. Naomba kama kuna fundi mweledi aliyeko Dodoma nisaidiwe namba yake
mng'ato JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 29,195 Reaction score 49,143 Sep 10, 2019 #2 Hivi hua mnaosha Engine ya gari ili iweje mkuu? Usafi mwingine ndio unaletaga majanga kama hayo.
Kudasai JF-Expert Member Joined Jan 1, 2016 Posts 229 Reaction score 300 Sep 10, 2019 #3 Toka Niunguze Alternator yangu kwa sababu ya kuosha engine, nimeacha kabisa hii tabia mng'ato said: Hivi hua mnaosha Engine ya gari ili iweje mkuu? Usafi mwingine ndio unaletaga majanga kama hayo. Click to expand...
Toka Niunguze Alternator yangu kwa sababu ya kuosha engine, nimeacha kabisa hii tabia mng'ato said: Hivi hua mnaosha Engine ya gari ili iweje mkuu? Usafi mwingine ndio unaletaga majanga kama hayo. Click to expand...
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,456 Reaction score 111,934 Sep 15, 2019 #4 Nyati said: Wakuu habari za kazi, Jamaa yangu gari linamsubua baada ya kusafisha / kuosha Injini ya gari. Tatizo ni indicators zinasumbua, mara ziwake mara zisiwake. Naomba kama kuna fundi mweledi aliyeko Dodoma nisaidiwe namba yake Click to expand... Gody +255 653 670 667
Nyati said: Wakuu habari za kazi, Jamaa yangu gari linamsubua baada ya kusafisha / kuosha Injini ya gari. Tatizo ni indicators zinasumbua, mara ziwake mara zisiwake. Naomba kama kuna fundi mweledi aliyeko Dodoma nisaidiwe namba yake Click to expand... Gody +255 653 670 667
Nyati JF-Expert Member Joined Mar 6, 2009 Posts 2,528 Reaction score 1,920 Sep 16, 2019 Thread starter #5 Ushimen said: Gody +255 653 670 667 Click to expand... Ushimen said: Gody +255 653 670 667 Click to expand... Nashukuru kuna DOGO amaisha solve issue ilikuwa FUSE iliungua Dogo kaibadilisha ndani ya dk 2, baada ya kuangaika sana na wapiga ramli
Ushimen said: Gody +255 653 670 667 Click to expand... Ushimen said: Gody +255 653 670 667 Click to expand... Nashukuru kuna DOGO amaisha solve issue ilikuwa FUSE iliungua Dogo kaibadilisha ndani ya dk 2, baada ya kuangaika sana na wapiga ramli
K kefa prince Member Joined Aug 4, 2019 Posts 10 Reaction score 1 Sep 23, 2019 #6 My dear engine ya gari haioshwi kwa maji !!!!