FUNDI WA SOFA

FUNDI WA SOFA

Amoflo

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2014
Posts
207
Reaction score
13
Natafuta fundi mzuri wa sofa, kama unaye yoyote yule anayeweza kubadilisha na zikawa nzuri naomba uniunganishe nae. Akiwa na whatsapp itapendeza zaidi
 
Wapi unapatkana...kama dsm fika urafi pale wamejaa na wanajua sofa kama imetoka china kumbe n mkono wa mbongo tu
 
Back
Top Bottom