The Giant JF-Expert Member Joined Jun 24, 2012 Posts 504 Reaction score 96 May 14, 2014 #1 Nilikuwa nahitaji kujuzwa kuhusu fundi simu kwa upande wa Display kma imevunjika kabisa. Na je ni brand na model gan anadeal nazo. Na je anaweza tengeneza HTC EVO? Gharama ikoje?
Nilikuwa nahitaji kujuzwa kuhusu fundi simu kwa upande wa Display kma imevunjika kabisa. Na je ni brand na model gan anadeal nazo. Na je anaweza tengeneza HTC EVO? Gharama ikoje?
akili akili JF-Expert Member Joined May 5, 2014 Posts 1,767 Reaction score 1,157 May 15, 2014 #2 Kuna mkali anaitwa Eddy, ni mtaalamu sana wa hizo mambo
The Giant JF-Expert Member Joined Jun 24, 2012 Posts 504 Reaction score 96 May 15, 2014 Thread starter #3 Masterkey said: Kuna mkali anaitwa Eddy, ni mtaalamu sana wa hizo mambo Click to expand... Unaweza ukaniunganisha nae. Yaani, # ya cm au email ID.
Masterkey said: Kuna mkali anaitwa Eddy, ni mtaalamu sana wa hizo mambo Click to expand... Unaweza ukaniunganisha nae. Yaani, # ya cm au email ID.