dist111 JF-Expert Member Joined Nov 29, 2012 Posts 3,967 Reaction score 3,579 Jul 22, 2013 #1 Wakuu salama? Nahitaji fundi mzoefu na mwenye bei nzuri ambae anaweza kutengeneza madirisha ya aluminium, naomba msaada wa hata contacts kama inawezekana! natanguliza shukran za dhati
Wakuu salama? Nahitaji fundi mzoefu na mwenye bei nzuri ambae anaweza kutengeneza madirisha ya aluminium, naomba msaada wa hata contacts kama inawezekana! natanguliza shukran za dhati