kamgisha rweyongeza
Member
- Oct 21, 2018
- 68
- 25
Upo vizuri sana mkuu, maana hata picha inaonyesha hilo banda la sungura limetulia sana na umelipaka rangi ya kuvutia. Sema hapo chini ungepaka rangi nyeusi kama scuttling...๐Siphael J.Moja ya kazi yangu hilo ni banda la kuku ukihataji kujengewa banda lolotr la mfugo na kwa material yeyote nafanya. Napatikana kwa wakazi wa kibaha pwani na dar es salaam kwa whatsapp no.0714168798
Namba ya kawaida 0744632098
Hilo banda la kwanza hapo juu hizo mbao ulotumia vipi haziliwi na mchwa?Siphael J.Moja ya kazi yangu hilo ni banda la kuku ukihataji kujengewa banda lolotr la mfugo na kwa material yeyote nafanya. Napatikana kwa wakazi wa kibaha pwani na dar es salaam kwa whatsapp no.0714168798
Namba ya kawaida 0744632098
Upo vizuri sana mkuu, maana hata picha inaonyesha hilo banda la sungura limetulia sana na umelipaka rangi ya kuvutia. Sema hapo chini ungepaka rangi nyeusi kama scuttling...
Nashauri angetuwekea na bei kabisa ili tunapo chagua kwenye hizo picha inakua rahisi kukadiria hata beiSafi sana hiyo picha ya pili naona lina vigae yupo vizuri jamaa
Kweli kabisa mkuu,Mimi nimelipenda Hilo Banda la ng'ombe hapo kulia yaani Hilo bati la msauzi alilolitumia limependezesha Banda Sana.Yuko vzr.Upo vizuri sana mkuu, maana hata picha inaonyesha hilo banda la sungura limetulia sana na umelipaka rangi ya kuvutia. Sema hapo chini ungepaka rangi nyeusi kama scuttling...
Roho mbaya haijengi mkuu...Ila watu... Asipogutuka kwamba hajaweka picha za kazi zake, atabaki kushangaa
Vipi mkuu, inamaana umeshindwa kuchagua hata kati ya yale mabanda mawili ya mwanzo kabisa..๐คฃduh๐
๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธSiphael J.Moja ya kazi yangu hilo ni banda la kuku ukihataji kujengewa banda lolotr la mfugo na kwa material yeyote nafanya. Napatikana kwa wakazi wa kibaha pwani na dar es salaam kwa whatsapp no.0714168798
Namba ya kawaida 0744632098
nimejua sijui mkuu๐Vipi mkuu, inamaana umeshindwa kuchagua hata kati ya yale mabanda mawili ya mwanzo kabisa..๐คฃ
Niko kibaha mkuu waweza kuja cuz mm n mfugaji na ni fundi hayo ni yanguHayo mabanda yenyewe yako wapi? Au unataka tule ugali kwa picha ya samaki?
Kwa eneo leny mchwa nakushaur jenga la matofali nayo najenga n uchaguzi wa mteja tu karbHilo banda la kwanza hapo juu hizo mbao ulotumia vipi haziliwi na mchwa?