Emma Piano
Member
- Jun 9, 2014
- 31
- 6
Wana jf nahitaji fundi mzuri anayeweza kunitengenezea laptop yangu aina ya toshiba,ilianguka chini ikazimika haijawaka tena.
Nenda pale posta mavuno house,floor ya kwanza kuna kijana mmoja ana ofc yake.anaitwa cheche,yupo.vizuri kama upo dsm mkuu.
Nenda pale posta mavuno house,floor ya kwanza kuna kijana mmoja ana ofc yake.anaitwa cheche,yupo.vizuri kama upo dsm mkuu.