fundi wa kufunga dish la dstv anatakiwa

Mutensa

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2009
Posts
421
Reaction score
92
Nahitaji kijana mwenye ujuzi wa kuelekeza dish la dstv kwenye satellite yao. Kuna kipindi walihama hivyo nataka anirudishe hewani. Kama weye unaweza kufanya hiyo au una mtu nipm unipe mawasiliano yake/yako.
 
Lakini si ungechek na dstv wenyewe wana mafundi kibao ambao ni uhakika.
 
Asante wamadish. Nitamtafuta
 
dstv awajawahi kuama mkuu labda kuna shida nyingine
 
fundi aliyepo Mwanza tafadhali niPM haraka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…