Karibu JF kijanaI am a computer technician i could help
Habari wakuu, natafuta fundi wa Computer (PC) haiwaki.
umeshatatuliwa tatizo lako?kama bado jieleze vizuri unaweza kusaidiwa hapa hapa au fundi akafika kwako.unapoiwasha inaleta error msg gani au inatoa sauti gani au haiwaki kabisa?ni computer ya aina gani?na mambo ka hayo
Nimeshaangalia cable zote
Bado sijasaidiwa ni DELL.
nikiwasha haiwaki