Fundi wa computer aliyebobea katika software na hardware

Kaparatus

Member
Joined
Oct 14, 2011
Posts
32
Reaction score
6
Tazizo la computer ni km linavyoonekana kwenye picha, nimebadili hard disk, ram, screen tatizo bado liko palepale, hiyo mistari inakuja na kupotea wakati mwingne inajizima na kujiwasha. na kuna wakati nikiizima kuja kuwasha inagoma kuwa kwa kawaida inawakia kwenye safe mode. mataalam ani PM tafadhali. computer yenyewe ni SONY VAIO VGN-FZ38M
 
loh uwezo wangu mdogo sana, nasubiri kujifunza hapa hapa majibu yakija
 
Kama upo arusha ni pm nikusaidie au kama vip check vga(video graphic accelerator)
 
kwa case ya hiyo mistari ni VGA lakini umesema inatatizo lingine la kuwaka na kuzima kuna mbo kadhaa ya kuangalia .ni vema kukutana na fundi moja kwamoja kuliko kutegemea maelezo ya hum jf
 
Tatizo linaweza kuwa sehemu mbili. 1. Video card inazinguwa 2. Connection ya hiyo cable ya kutoka motherboard to screen inaweza kuwa ishakata kwa ndani.
 
Bado lipo tatizo jengine. Upo wapi au na weme ni mtundu kiasi maelezo ya humu yatakutosheleza? Ni-PM labda naweza kusaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…