Fundi wa CCTV Camera & Electric Fence

Fundi wa CCTV Camera & Electric Fence

Joined
Oct 1, 2019
Posts
43
Reaction score
17
Tunakuletea huduma ya #Cctvcamera ambayo ni madhubuti kwaajili ya ulinzi, uangalizi wa mali za majumbani, maofisini, kwenye biashara zetu , mitaani, kwenye miji na sehemu kadha wa kadha.

CCTV Cameras zetu zina sifa zifuatazo:

1. Cameras zetu ni full HD.

2. Cameras zetu zinao uwezo wa kunasa matukio kipindi cha MCHANA na USIKU yaan zina DAY and NIGHT MODE.

3. Cctv Cameras zetu zinaweza kuwa connected kwenye simu hivyo kukuruhusu wewe kuweza kutizama matukio ukiwa sehemu yoyote ile duniani kutokea mahala umezifunga.

4.CCTV Cameras zetu zina uwezekano ukaziunganisha na MIC ukawa unasikia maongezi yatakayokuwa yanaendelea mahala ulipozifunga.

Faida za CCTV Cameras

1. Kuimarisha ulinzi wa majumba yetu, ofisi zetu, biashara zetu, mashuleni.

2. Kusimamia shughuli mbalimbali ambazo zitasaidia katika kuongezeka katika uzalishaji.

3. Zinasaidia katika utunzaji wa ushahidi.

4. Zinasaidia katika utunzaji kumbukumbu.

Package yetu inajumuisha vitu vifuatavyo:

Bei: 850,000/=
Kwa camera 4

Call: 0762061539/0716866626

-Tunao ma-engineers wenye ujuzi mkubwa ambao watakushauri na kukuelekeza katika utumiaji wa CCTV CAMERAS.

- Tunafika mikoa yote ya Tanzania.
Karibuni sana!
FB_IMG_1578810902087.jpeg
IMG_20200108_145427_2.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom