Fundi wa CCTV & alarm systems anatafutwa

Fundi wa CCTV & alarm systems anatafutwa

Benaco

Member
Joined
May 17, 2017
Posts
57
Reaction score
128
Anahitajika haraka kijana fundi wa CCTV na mfumo wa alarm kuajiriwa. Asiwe na umri zaidi ya miaka 30.

Kituo cha kazi: Morogoro
Mshahara: Makubaliano
Mawasiliano: 0738 926 949
 
Kwa hela hiyo bora niendelee kufunga mtaani tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom