Mkuu me nafanya kazi yakuwasambazia watu umeme kutumia mota zakufua ememe zinazozungushwa na machine hizi za amec piston moja changamoto nikwamba umeme mara nyingi huwa unakuwa mdogo swari nikwamba hivi hakuna uwezekano wakuongeza hapo kifa nyingine ambacho kinaweza kuwa kinauengeza umeme nakuwa umeme mzuri usio sumbua?au hakuna uwezekano wakuifungia trasfoma ili itoe umeme mzuri zaidi ulio nakiwango?