Fundi ujenzi

Alubati

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2016
Posts
6,844
Reaction score
15,725
kwa mahitaji ya kupiga lipu ,kuweka tiles ,kuchimba mashimo ya choo na kuyajenga ,kupaua,kuweka gypsum bord,nk, ni muaminifu,chapakazi,na bei nafuu, napatikana 0657472666 wasap 0685047300
 
Kwa mfano bei y kujenga chumba kimoja bei gani? Kwa nyumba y chini ambayo cyo ghorofa.
 
kwa mahitaji ya kupiga lipu ,kuweka tiles ,kuchimba mashimo ya choo na kuyajenga ,kupaua,kuweka gypsum bord,nk, ni muaminifu,chapakazi,na bei nafuu, napatikana 0657472884, wasap 0685047650

Fundi ujenzi au fundi mwashi?

Mimi nahitaji kuweka ukuta...unafanya na hiyo?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…