renatus mwanisenga
Member
- Jul 21, 2012
- 94
- 22
nina vivo x6 plus display yote giza vpi huduma yake ndugu
Boss una circuit ya Huawei p7 l10? Utaiuza kwa shilingi ngapi?60000
Bado hujaweka namba ya simuIrene Marciale
Simu yangu ina mawenge haya.Inashida gani cm ako? Maana circuit cjajua ni circuit ya chaj au circuit Yann!
Pole ndugu, kuflash sio sababu yakuzima cm kipindi chakupiga cm, ningependa kuiona Kwanza niifanie check-up. Nakama kweli inatakiwa kubadilisha mashine nitakuambia tufanyejeSimu yangu ina mawenge haya.
Ikiwa kwenye lock mtu akipiga nikipokea inazima na kuwaka.
Nikipiga simu upande wa pili ukipokea simu inazima na kuwaka.
Nikiwa kwenye menu nikishika icon ya app ili niwe kama naibadilisha hapo ilipo simu inawaka na kuzima.
Nikaamua niiflash. Fundi akasema bootloader ipo locked, lakini tukiwa tunaendelea na zoezi la kuunlock akaona betri langu ni chenga.
Akaniambia nibadilishe betri pengine ndiyo shida.
Badala ya kubadilisha betri mi nataka mashine nzima nihamishie tu hii display yangu.
HTC one battery ya ndani kwa ndani sh ngapi?60000