Fundi simu kwa computer

Fundi simu kwa computer

IKB

Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
75
Reaction score
29
Unasumbuliwa na simu yako tablete ...
Fundi niko kariakoo mtaa walindi na Msimbazi gerezani,
Tuna flash na kutoa lock...
Tuna badilisha vioo yani display pamoja na tach, yani screen touch...
Tuna badilisha battery yandani kwandani
Na pia tuna badilisha glass protector kwaajili ya kukinga simu yako isivunjike kioo ikindondoka kwabahati mbaya. Unakuta Glass pekee ndo inavunjika.
Nakama una simu Samsung ambayo kioo chake nicomplet alafu imepasuka kioo chajuu lakin inafanyakaz vizuri, aina aja yakununua kio chalaki naa ! Naweza kubadilisha kioo chajuu kwabei nafuu

Kama simu ako inajitach yenyewe... Kwenye mesej unashindwa kuandika muda mwingine unakuta mpaka uweke simu ako upande ili uandike vizuri, shida nitach ibadilishe,

Maswali naushauri nibure

Piga simu
+255744778873
+255659778873

WhatsApp number
+255763403330
+255744778873



Fundi Isaac Issa.

Epuka matapeli wamjini
You are welcome by IKB's FUNDI SIMU
3v89g9q3vm5wcrd.jpg
ebay.jpg
Factory-Direct-Supply-adjustable-temperature-mobile-lcd.jpg
appareils-de-mesure-electronique.jpg
bateria-galaxy-s7_m.jpg
 
Kuna lenovo hapa nilikalia screen ika crack ila niki switch on inaonyesha mwanga vip naweza kupata huduma
 
Kuna lenovo hapa nilikalia screen ika crack ila niki switch on inaonyesha mwanga vip naweza kupata huduma
Yap inapona
Kwanza ningependa kujua ni Lenovo ngap?
 
Je unaweza kuroot nikuletee katcno kangu
 
Nna shida mbili
Moja home button ya iPhone 6s Plus haifanyi kazi.. nliwahi kubadili mpk screen.. je inawezekana? Na kwa pesa ngapi??
Mbili kioo cha HTC one X.. kinapatikana? Bei gani?
 
Kioo complete pamoja naufundi 80000
Na Kama display iko fresh tach mbonvu ni 35000
Display iko sawa ni Kioo tu kimepasuliwa nikiwa kwenye makutano wa Chama!

Uko wapi Mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom