naona umechukizwa sana na mimi kutohitaji mafundi wa vichochoroni, lakini elewa kila mtu na uendeshaji wake wa mambo, je kama nahitaji invoice kwa sababu zinalipwa na wadhamini, na je kama nilisha wahi kufanyiwa kitendo kisicho na utu kwemye gari yangu uko vichochoroni, ! naelewa nachosema na ndo maana nasema ki-ist hakiendi kupakwa rangi vichochoroni!
vp kuhusu bei hujanipa mwangaza, ??