plumber hydrogen JF-Expert Member Joined Feb 17, 2022 Posts 913 Reaction score 1,591 Apr 12, 2024 #1 Habari wakuu me ni fundi bomba uliza swali lolote linalo husu plumbing nitakujibu kuanzia mifumo ya maji moto baridi,maji taka, Ujenzi wa chemba,Bei ya material ya plumbing n.k
Habari wakuu me ni fundi bomba uliza swali lolote linalo husu plumbing nitakujibu kuanzia mifumo ya maji moto baridi,maji taka, Ujenzi wa chemba,Bei ya material ya plumbing n.k
Mbute na chai JF-Expert Member Joined Jul 21, 2012 Posts 571 Reaction score 610 Apr 12, 2024 #2 unapatikana wapi?
plumber hydrogen JF-Expert Member Joined Feb 17, 2022 Posts 913 Reaction score 1,591 Apr 13, 2024 Thread starter #3 Mbute na chai said: unapatikana wapi? Click to expand... Dar es salaam mkuu
Seawhale JF-Expert Member Joined Sep 25, 2016 Posts 1,853 Reaction score 2,404 Apr 13, 2024 #4 Hiyo chemba ndogo ambayo hata haitunzi maji na uchafu, kwanini umeijenga kwa kuweka huo ukuta kwa ndani?.
Hiyo chemba ndogo ambayo hata haitunzi maji na uchafu, kwanini umeijenga kwa kuweka huo ukuta kwa ndani?.