Huwa nawaonea sana huruma hawa wafyatua pavement ya mitaani. Anavtatua kimoja kimoja kwa vibao vya chuma sasa hawa wataalamu wa veta wameshindwa kutengeneza vibao vyenye uwezo wa kufyatua hata paving 10 kwa wakati mmoja?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.