kajamaa ni kadikteta ila kanachapa kazi balaaa...! mji mkuu ni msaafi hadi raha...hakuna rushwa...hakuna nyumba ya nyasi..! OUR PRESIDENT IS HANDSOME ..!
lakini watu wake hawalalamiki kuhusu maendeleo na matumaini makubwa waliyonayo warwanda kwa sasa kuhusu taifa lao..wanaolalamika as usual ni wale wanaopenda siasa siasa hizi wanaotamani uongozi na hawaupati kwa sababu hawachangii katika project ya Kagame
ulizia mabwpande serikali ya nchi gani na chama gani inamiliki na wanawafanyia mauaji mafisadi au watetezi wa raslimali za nchi. Ukipata jipu usiwe mchoyo unipe na mimi nielewe alafu nikuunge mkono kuhusu maoni yako
jamaa ni mzr na kafanya mengi ila kuna upande wa pili wa shilingi, omba usikupitie, utajuta kuzaliwa.
Si mnasikia anasuport waasi kongo?
Mpk waliojipa upolisi wa duni (us) wanamwaga povu?
Ndio wanadam wengi walivyo, kuna pande mbili za shilingi.
bora yeye hata anaowaua ni wale wasipenda maendeleo ya rwanda,and ni raisi wa watu kwa vitendo,
rais wetu sisi (kikwete) anaua wapenda maendele na nenepesha wezi na mafisadi.
Desperate situations demand desperate actions; lipi bora; uongozi dhaifu, watu wanapukuchua raslimali za nchi kama mchwa left; right, center Top and bottom; uchumi wa nchi unadidimia na wananchi kuzidi kuwa maskini au a strong, no nonsense leadership style with a fully functioning state and economy?!