Wakuu nahitaji Fundi mzuri wa Engine ya RAV4 hapa DAR. Anae mfaham naomba anijukishe. Mimi naishi Tabata ila popote namfuata. Aweke na mawasiliano ili iwe rahisi kumfikia