Dsm Installers Tech
Member
- Aug 15, 2018
- 21
- 23
Kama material ni yako ufundi huwa ni 5000 hadi 7000 kwa mita moja [sio square mita] kwa maana hapa tuna hesabu linear meter urefu kuzunguka nyumba ama kuifuata fence mwanzo hadi mwisho wake.Je kama material ni yangu ya electric fance. Ufundi utataka bei gani kwa square meter?
Asante
Picha haionekani mkuiGate motors View attachment 2946745
Yes mkuu karibu sana na hii inakuja na remotes mbili zinazokuwezesha kufungua geti lako kuanzia umbali wa mita 100 hadi 0m.Gate motors View attachment 2946745
Kama material ni yako ufundi huwa ni 5000 hadi 7000 kwa mita moja [sio square mita] kwa maana hapa tuna hesabu linear meter urefu kuzunguka nyumba ama kuifuata fence mwanzo hadi mwisho wake.Je kama material ni yangu ya electric fance. Ufundi utataka bei gani kwa square meter?
Asante
hivyo hata mtu akikata waya fence yako king'ora kitalia lakini bado fence yako itauwa inafanya kazi.Kwa kutumia vifaa original na sahihi kulingana na ukubwa wa fence yako itakua ulinzi zaidi kwani mashine [ENERGIZER] huipa umeme fence wire kwa mfumo wa D.C na kiwango cha umeme kinachopita kwenye waya huwa ni kikubwa sana kisi kwamba kibaka akigusa nakuhakikishia hatarudia ama kujaribu kugusa huo waya tena kwani kiwango cha umeme huwa ni 6kv nakuendelea kulingana na ukubwa wa mashine na fence.
Mtu anapigwa shoti pale anapokamilisha mzunguko wa circuit kwenye fence kwani kuna Earth na kuna live ambazo hupita kwenye waya hivyo haijalishi atakuwa amevaa viatu.
Tunakufungia king'ora kitakachokupa taarifa kuwa kuna kitu hakipo sawa kwenye fence yako,
Yes mkuu karibu sana na hii inakuja na remotes mbili zinazokuwezesha kufungua geti lako kuanzia umbali wa mita 100 hadi 0m.
Vile vile unaweza kutumia smartphone kufungua na kufunga geti lako kwa smart gate motors. [Hii mara nyingi hatushauri kwa sababu application huwa zina misbehave hivyo ukiwa umeiamini application na unmefika home night kali application ikazingua itakuwa changamoto]
Unaweza kuunga remote mpaka 150 na kuendelea kulingana na watu unaohitaji uwape access.
(Remote ni mpaka ifanyiwe pairing ndio ifanye kazi hivyo usalama umezingatiwa)
Kwenye shule,appartments,nyumbani, viwandani n.k zinafaa sana View attachment 2946851View attachment 2946853
Lakini haya yangekwepeka ama kuzuilika kwa kuwepo na gate motor kwani utafungua na kufunga geti kwa kutumia rimoti tu.
Rimoti hufanya kazi kuanzia umbali wa mita 100 kutoka geti lilipo na kubwa zaidi hata kama nyumbani kuna watu 15 ama 20 kila mtu anaweza kuwa na rimoti yake zikawa [programmed] kwa ajili ya kufunga na kufungua geti kwa kila mtu muda ataorudi ama kutoka'
inakuja na rimoti mbili 2 ;lakini unaweza kuongeza rimoti kulingana na mahitaji yako.
D5 evo 1,550,000/=Kwa geti za uzito wa kilo 0 hadi 500
D10 smart 2,650,000/=Gate uzito wa 500kgs hadi 1000
D20 smart 3,700,000/=Gate uzito 1000kgs hadi 2000kgs
Itakuwaje umeme ukikata?Umeme ukikatika inakuwaje?
Punguzo linapatikana boss wangu kulingana na kazi.GEti na cctv jumla kuna punguzo?
Zinauzwaje?View attachment 2950542
Zinaitwa mini au spy camera.
hizi zipo boss. Lakini kwenye kuzifunga huwa sisi hatufungi hizi.
Kwa nini hatuzifungi?
ni kwa sababu ni camera za siri,zinweza kuingia faragha ya mtu na hii ki sheria si sawa.
Lengo la Camera za ulinzi ni zionekane na mtu awe na tahadhari ya uwezo wa Camera na zionekane.
65,000 boss. Hizi ni wired,utahtaji kupata dvr ya kulingana na idadi ya camera utakazoweka, dvr zipo za njia 4,8,16 hadi 32.Zinauzwaje?
Bei ya DVR 4ch hutegemea na kampuni kwa top brands kama hik na dahua huwa ni 120,000 4ch dvr (hii bila hard disk)65,000 boss. Hizi ni wired,utahtaji kupata dvr ya kulingana na idadi ya camera utakazoweka, dvr zipo za njia 4,8,16 hadi 32.
Zinaonyesha picha 1080p lakin ni ngumu kuzigundua Camera ilipofungwa.